VIONGOZI WAKIWASILI VIWANJA VYA BUNGE KWA AJILI YA IBADA MAALUM KUMUAGA
SPIKA MSTAAFU HAYATI NDUGAI
-
Viongozi mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma
kwaajili ya kushiriki ibada maalum ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge
la Jam...
1 hour ago
hii ndio bongo yetu.
ReplyDeleteJenny, nadhani pale unapoitambulisha blog yako unetumia kiswahili na kiingereza ili kutuwezesha sisi waswahili kupata nini hasa unatujuza kuliko kuendelea na kidhungu mwanzo mwisho isipokuwa neno kiswahili ndi kiswahili pekee. Umeon ahata hapa kwenye selekti profail inaongea issue ambazo sisi ndugu zako ambao hatujui lugha za ki aitii ni tatizo.
ReplyDeleteMi nachagua yoyote halafu utajua huko mbeleni nini kitakuwa. Lakini nilitaka uweke kiswahili zaidi ili sisi waswahili tuweze kujiramba na blog yetu.
Kazi nzuri