Please send your suggestions to uswahili@aol.com

Monday, January 25, 2010

Usafiri kiubishi ubishi!

When Kijana mtanashati brotherman wa nguvu, unagombaniwa kama
mpira wa kona baada ya kushindwa kulipa nauli ya Sh. 250 tu, kwenye Dalalada kati ya Tandika na Mwenge Jijini Dar es Salaam. Tozi umelipuka viwalo vya maana unajaribu kutaka kushuka katika kituo cha mabasi Karume Ilala, lakini unawekewa ngumu na kondakta na kurejeshwa ndani ya basi kwa nguvu kisha kupelekwa hadi Mwenge na kuachwa kituoni ili utafute usafiri wa kurudia.

No comments:

Post a Comment