Please send your suggestions to uswahili@aol.com

Monday, January 25, 2010

Kulilia soda ya mgeni

kama umeshawahi kufanya the following in ur TZ lifetym:
>Kulilia soda ya mgeni
>Kucheza baba na mama
>Kulilia nguo ya sikukuu
>Kuwipe makamasi na primary school uniform
>Drinking maji ya bomba, obviously not treated
>Claiming sickness 2 skip Skool
>Mixing up Kisw na Engl ka mimi...

No comments:

Post a Comment