NITAWATUMIKIA WANA SIMANJIRO BILA UBAGUZI - OLE MILLYA
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
MGOMBEA ubunge wa Simanjiro mkoani Manyara, kupitia CCM wakili msomi, James
Ole Millya amesema endapo atapewa nafasi hiyo a...
1 hour ago
hii ndio bongo yetu.
ReplyDeleteJenny, nadhani pale unapoitambulisha blog yako unetumia kiswahili na kiingereza ili kutuwezesha sisi waswahili kupata nini hasa unatujuza kuliko kuendelea na kidhungu mwanzo mwisho isipokuwa neno kiswahili ndi kiswahili pekee. Umeon ahata hapa kwenye selekti profail inaongea issue ambazo sisi ndugu zako ambao hatujui lugha za ki aitii ni tatizo.
ReplyDeleteMi nachagua yoyote halafu utajua huko mbeleni nini kitakuwa. Lakini nilitaka uweke kiswahili zaidi ili sisi waswahili tuweze kujiramba na blog yetu.
Kazi nzuri