Thursday, January 28, 2010
nipo njiani, nafika sasa hivi!!
U knw u r a mswahili when u say upo njiani wakati ndo unaamka!! au unaelekea posta na hapo bado buguruni mtu anakupigia simu eti "uko wapi?", bila aibu "niko hapa mnazi mmoja subiri dakika tano tu, nafika!!"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment