TEA YAANZA UTEKELEZAJI MIRADI YA AMALI ZANZIBAR
-
Unguja
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imeanza rasmi utekelezaji wa miradi ya
amali kwa upande wa Zanzibar, ambapo shilingi bilioni 3.2 zimetengwa kwa
aji...
9 hours ago
We ni mswahili, pale uamkapo asbuhi na kumtuma dogo au kwenda mwenyewe kununua chapati ambazo unafungiwa kwenye gazeti. Unakula chapati zikiwa na wino mweusi wa gazeti, unashida na kulala kwenye mkeka na lile gazeti (ulilofungiwa chapati) unaanza kulisoma tena.
ReplyDelete