Please send your suggestions to uswahili@aol.com

Monday, March 15, 2010

Chapati na Gazeti (2 in 1)

Makindi said...

We ni mswahili, pale uamkapo asbuhi na kumtuma dogo au kwenda mwenyewe kununua chapati ambazo unafungiwa kwenye gazeti. Unakula chapati zikiwa na wino mweusi wa gazeti, unashiba na kulala kwenye mkeka na lile gazeti (ulilofungiwa chapati) unaanza kulisoma tena.

5 comments:

 1. hii ni noma na kweli inatokea unakuta mtu kweli anakua kaagiza kitu cha chapati nakafungiwa na gazeti labda katuni hivi inakua balaa sana maana mwisho wa siku anaishia kucheka nakuona kwamba duh kafaidika kumbe mwisho wa siku anakua kaula ule wino mweusi mbeleni anakua anapata cancer halafu anaanza kusema kalogwa kumbe ndio yalee mambo ya wino mweusi........!!!

  ReplyDelete
 2. We ni mswahili pale upangapo foleni za kwenda bafuni kuoga kwenye nyumba za kupanga. Wababa/Washkaji kusimama nje ya bafu wanasubiri utoke huku na miswaki yao mdomoni na hapo hapo wanajadili yanga, simba, arsenal, man etc ilivolala jana ilhali wengine hawana hata TV, kumbe walicheki kupitia dirisha, jirani, bar etc!

  Makindi

  ReplyDelete
 3. MSWAHILI NI MTU AMBAYE HAYUPO KI HUKAKIKA ZAID KATIKA SWALA ZIMA LA UHAMNIFU>>

  ReplyDelete
 4. Mswahili ni mtu anaeongea kiswahili na kudumisha utamaduni na ustaraabu wa uswahili.

  Tatizo lako dada yangu ni elimu yako ni ndogo au haujaelimika ndio maana unachanganya ukosefu wa ustaraabu na uswahili. Jifunze kudhamini vya kwenu sio vya kigeni tu. Ustaraabu si utamaduni kila tamaduni zaina watu wasiowastaraabu je nao tuwaite waswahili?

  MIMI NI MSWAHILI NA NINAJIVUNIA USWAHILI WANGU. vilevile natamiza ahadi kwa muda tulioahidiana, siombi chumvi, na nachambua kila kitu kabla ya kukitekeleza.

  Ushauri: Mara nyingine andika hivi utajuaje kuwa wewe ni mswahili hasiyestaraabika?

  ReplyDelete