Please send your suggestions to uswahili@aol.com

Wednesday, March 24, 2010

foleni za kwenda bafuni

We ni mswahili pale upangapo foleni za kwenda bafuni kuoga kwenye nyumba za kupanga. Wababa/Washkaji kusimama nje ya bafu wanasubiri utoke huku na miswaki yao mdomoni na hapo hapo wanajadili yanga, simba, arsenal, man etc ilivolala jana ilhali wengine hawana hata TV, kumbe walicheki kupitia dirisha, jirani, bar etc!

Monday, March 15, 2010

Chapati na Gazeti (2 in 1)

Makindi said...

We ni mswahili, pale uamkapo asbuhi na kumtuma dogo au kwenda mwenyewe kununua chapati ambazo unafungiwa kwenye gazeti. Unakula chapati zikiwa na wino mweusi wa gazeti, unashiba na kulala kwenye mkeka na lile gazeti (ulilofungiwa chapati) unaanza kulisoma tena.

Monday, March 8, 2010

omba omba noma!!

You know you are a Mswahili when you are afraid to help the beggars on the streets of Dar cos you fear you're gonna get paralyzed, start growing fur and get asked to kiss the beggar and disappear from your car instantly without a trace!!!