SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO LAANZA KUANDAA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO
2026-2031
-
Shirika la Masoko ya Kariakoo limeanza rasmi maandalizi ya Mpango Mkakati
mpya wa miaka mitano 2026-2031, hatua inayolenga kulifanya soko hilo la
kimataifa...
3 hours ago

hii ndio bongo yetu.
ReplyDeleteJenny, nadhani pale unapoitambulisha blog yako unetumia kiswahili na kiingereza ili kutuwezesha sisi waswahili kupata nini hasa unatujuza kuliko kuendelea na kidhungu mwanzo mwisho isipokuwa neno kiswahili ndi kiswahili pekee. Umeon ahata hapa kwenye selekti profail inaongea issue ambazo sisi ndugu zako ambao hatujui lugha za ki aitii ni tatizo.
ReplyDeleteMi nachagua yoyote halafu utajua huko mbeleni nini kitakuwa. Lakini nilitaka uweke kiswahili zaidi ili sisi waswahili tuweze kujiramba na blog yetu.
Kazi nzuri