Please send your suggestions to uswahili@aol.com

Wednesday, January 27, 2010

Kupanda na kuvuna

Utajua wewe ni mswahili kama umeshawahi "kupanda na kuvuna" DECI kwa kutumia ile hela milioni 5 ya michango ya harusi ya watu alafu unaambiwa DECI imefutwa, na harusi inakaribia!!!

No comments:

Post a Comment