TASAC YAFANYA ZOEZI LA UTAYARI KUKABILIANA NA UMWAGIKAJI WA MAFUTA BAHARINI
-
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), leo tarehe 13 Machi, 2025,
limeendesha zoezi la utayari wa kukabiliana na umwagikaji wa mafuta
baharini ...
1 hour ago
We ni mswahili, pale uamkapo asbuhi na kumtuma dogo au kwenda mwenyewe kununua chapati ambazo unafungiwa kwenye gazeti. Unakula chapati zikiwa na wino mweusi wa gazeti, unashida na kulala kwenye mkeka na lile gazeti (ulilofungiwa chapati) unaanza kulisoma tena.
ReplyDelete