ACT WAZALENDO WAPEWA ONYO NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
-
Baraza la vyama vya siasa nchini limekemea vikali kitendo cha Chama cha ACT
WAZALENDO kuchapisha na kusambanza kipeperushi kinachobeza kazi
zinazofan...
1 hour ago
We ni mswahili, pale uamkapo asbuhi na kumtuma dogo au kwenda mwenyewe kununua chapati ambazo unafungiwa kwenye gazeti. Unakula chapati zikiwa na wino mweusi wa gazeti, unashida na kulala kwenye mkeka na lile gazeti (ulilofungiwa chapati) unaanza kulisoma tena.
ReplyDelete