SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO LAANZA KUANDAA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO
2026-2031
-
Shirika la Masoko ya Kariakoo limeanza rasmi maandalizi ya Mpango Mkakati
mpya wa miaka mitano 2026-2031, hatua inayolenga kulifanya soko hilo la
kimataifa...
3 hours ago

Uswahilini. Nimewasili. Nimewasili NYUMBANI maana nami ni mswahili. Nashukuru saana kwa kuniongeza kwenye Facebook na nilipotembekea ukurasa wako nikakutana na hii.
ReplyDeleteNimefurahi kuona nawe unaendeleza kazi njema ya ku-Blog.
Basi karibu CHANGAMOTONI kusaidiana kuelimisha, kuburudisha, kufunza na kuisaidia jamii.
Blessings
KARIBU......http://jukwaahuru.com/
ReplyDeleteKwa vile nami ni mswahili nimeona si mbaya nikichangia kidogo. Nawe karibu MAISHA NA MAFANIKIO. Hapo konaniiii!!
ReplyDeleteSiku ukihamia kwenye nyumba ambayo bafu lipo kwa ndani (self contained) na hakuna foleni lazima upakumbuke huku maana utakuwa unakosa stori
ReplyDeleteSWALI inakuwaje jamaa wanasubiri kwa nje na wewe uko bafuni/chooni na unaendesha tena kwa sauti watu wote wanasikia, maana mabafu haya ni choo pia, halafu mengi ni ya shimo halafu .........
Lakini mimi sipendi vitu vibaya au maisha ya shida yakaitwa ya `waswahili' kwasababu tunakitia madoa kiswahili chetu!
ReplyDeletemwenye blog,she's typical mswahili
ReplyDeleteWhat's up, all the time i used to check web site posts here early in the break of day, as i enjoy to find out more and more.
ReplyDeleteAlso visit my site atlaslm.com
kfgui546
ReplyDeletegolden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
supreme outlet
golden goose outlet
golden goose outlet